Karibuni

Swahili Welcome Text

Tunatoa:

  • Kileo na ushauri wa matumizi mabaya ya dawa
  • Huduma za matatizo
  • Msaada na ushauri ya watoto, watu wazima, na familia.
  • Msaada kwa watu wenye umri wote walio na ulemavu wa kukua na familia zao

Hizi ni baadhi ya nambari za msaada ambazo unaweza kupiga:

  • Simu ya masaa-24 ya Matatizo ya Watu: 802.488.6400. Utaongea na mfanyikazi anayeongea-Kiingereza ambaye anaweza kufikia huduma za mkalimani kupitia kwa simu.
  • Simu ya Matatizo ya Watoto na Familia: 802.488.7777. Utaongea na mfanyikazi anayeongea-Kiingereza ambaye anaweza kufikia huduma za mkalimani kupitia kwa simu.
  • Afya ya Akili na Matumizi mabaya ya Vitu vya Watu wazima: 802.488.6200. Utaongea na mfanyikazi anayeongea-Kiingereza ambaye anaweza kufikia huduma za mkalimani kupitia kwa simu.
  • Huduma za mtoto, kijana na familia: 802.488.6600. Utaongea na mfanyikazi anayeongea-Kiingereza ambaye anaweza kufikia huduma za mkalimani kupitia kwa simu.
  • Huduma za Ukuzaji: 802.488.6500. Utaongea na mfanyikazi anayeongea-Kiingereza ambaye anaweza kufikia huduma za mkalimani kupitia kwa simu.

Kipindi cha Vermont cha Kuwapa Wakimbizi Makazi Mapya: 802.655.1963. Utaweza kuongea na mtu anayeongea lugha yako an ambaye anaweza kukusaidia kufikia huduma katika Kituo cha Howard.

Kituo cha Afya ya Jumuiya ya Burlington: 802.864.6309. Utaweza kuongea na mtu anayeongea lugha yako an ambaye anaweza kukusaidia kufikia huduma katika Kituo cha Howard.